Hizi ni taswira mbalimbali zilizonaswa na Globu ya Jamii ilipotembelea kijiji cha Himo ambapo ambapo ukibahatika kukuta mawingu hayajatanda vilele vya Kibo na Mawezi vinaonekana vizuri kabisa




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Home sweet home.

    ReplyDelete
  2. Hivi wadau kuna sehemu nzuri hapa nchini kama Moshi? nimetembelea maeneeo ya Sanya juu,Machame, Kibosho, Uru, Kilema, Marangu na Rombo na nimeoa Kibosho kwetu Singida but hakuna kama Uchagani naapia hilo.

    ReplyDelete
  3. I miss home.

    ReplyDelete
  4. Hiyo ndio kilimanjaro bwana, Elimu kwanza, mnawaona madogo walivyoshaini mpaka wanatia raha, wakiwa na hali ya hewa safi na mandhari ya mlima wetu!

    ReplyDelete
  5. Home sweet home !!

    ReplyDelete
  6. 1;Hiyo 'junction' ya mizani kuna harufu ya rushwa.

    2:Mlima unapoteza barafu kila kukicha.

    David V

    ReplyDelete
  7. Madhari ya Mkoa huu hasa maeneo ya Wachaga ni kuzuri jamani tuache utani.
    Mie nimeoa Kibosho huwa nikienda ukweni huwa naenjoy kuliko hata kwetu Singida.

    Ndio ukweli jamani msinishambulie

    ReplyDelete
  8. Paa la Africa! Tunashukuru sana kwa picha zinatukumbusha nyumbani. Tunaomba utembelee na maeneo mengine kama Rombo, Machame, n.k.

    ReplyDelete
  9. Kyeleuuuwiiii!!!!!!!!!! Ngakumbuo kanyi laanye :)
    -Makundi

    ReplyDelete
  10. Uchagani kuzuri na huo ndo ukweli hakuna sehemu ya kulinganisha hapa TZ.

    ReplyDelete
  11. Narudi nyumbani ehee!

    ReplyDelete
  12. Kusema kweli nimebahatika kutembelea mikoa zaidi ya 10 ya TZ ila MOSHI jamani!!kuzuriii,kumetuliaa,kusafii.Ukifika pale mjini utakutana na kina dada/mama wanatembeza nguo(machinga);wenyewe ni nadhifu hadi bas.Hongereni watu wa moshi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...