| Timu ya Entente Sportive Sétifienne ( ES Sétif ) ya Algeria ipo nchini tayari kwa ajili ya pambano lao na Simba katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAF) utakaopigwa katika Uwanja wa Taifa siku ya Jumapili. Hapa wanawasili uwanja wa Karume jijini Dar es salaam kula tizi. Viongozi wao wamelalamikia sana hali ya joto waliyoikuta na ikawabidi waanza tizi saa 11 jua lilipokuwa limetuama kiasi |
Balozi wa Algeria akiwasalimia wachezaji wa timu ya ES Setif kwenye uwanja wa Karume leo jioni
Baadhi ya wachezaji wao nyota
Hapa wakifanya mazoezi mepesi
Wachezaji wa timu ya ES Sétif ya Algeria pamoja viongozi na balozi wao wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza tizi Uwanja wa Karume.
Habari kamili kuhusu timu hii BOFYA HAPA
Habari kamili kuhusu timu hii BOFYA HAPA


.jpg)
Am Young Afrian fan, lakini hawa jamaa are not footblers,kwakuwangaalia!BEST OF LUCKY SIMBA!
ReplyDeleteMbona hujatujuza hapo ni uwanja gani panaonekana ni mzuri sana kwa kufanyia mazoezi, Na wewe mchangiaji wa kwanza unaangalia nini kujua ni footbollers wa kweli huna lolote ni ili simba wakiwafunga mpate cha kusema..KILA LA KHERI SIMBA SPORTS!
ReplyDeleteDah! Simba tumekwisha!
ReplyDeleteMi si Simba wala Yanga, lakini hapa ni Mtanzania na support Simba. Wanalia joto, safi sana ndiyo maana ya 'uwanja wa nyumbani' Ingefaa Simba wakafanya mazoezi saa tisa za machana, halafu TFF wakapanga mechi saa tisa au saa saba mchana tena wakati wa jua. Ndiyo utamu wa kucheza kwenu, maana ukirudi kwao hao jamaa wanakupeleka milimani au sehemu huwezi hata kupumua-wenyewe wameshazoea.
ReplyDeletemahandsome kweli duh!sijui ntapata mmoja!wadada wa mujini kazi kwenu
ReplyDeleteKwa kumsaidia mdau Thu Mar 22, 10:07:00 AM 2012, ambaye naamini yuko nje ya Tanzania kwa miaka mingi, huu ni uwanja wa Karume uliopo Ilala, Dar es Salaam.
ReplyDelete