Sanamu ya Askari maarufu kama picha ya Bismini iliyoko katika mzunguko wa mitaa ya Azikiwe na Samora jijini Dar es salaam imehujumiwa singe yake na mtu/watu wasiojulikana kama inavyoonekana leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Skrepa imekataa!!!

    Okota okota wa Jijini alikuwa anajaribu kuikwapua singe ya Bisimini aipeleke Skrepa Mitaa ya Gerezani Kariakoo lakini Mkoloni amekomelea chuma cha pua,,,ngoma imedunda!

    ReplyDelete
  2. Hii kitu Sanamu ya Bisimini ilitakiwa itegeshewe waya za umeme au waya zenye makali ya kukata atakae jaribu kuitia mkono amekufa!!!

    ReplyDelete
  3. Ohooo!!!

    Jamaa amejaribu mara ya kwanza jioni jioni amechemka, mara ya pili atakuja usiku wa manane na msumeno itatoka tu!

    Ahhh, Mateja wa Kariakoo mchezo?

    ReplyDelete
  4. sometimes I careMarch 19, 2012

    If u can steal ur own history...what can make u stop stealing from ur own culture...Hii dunia ya sasa n for those top comments this is not fun guys...whats point of jokes here...i grew watching this statue...come on generation switching lines.

    ReplyDelete
  5. oyaaa we unae andika kizungu hapo juu,ukiwa serious sana nchi hii utakufa na fukuto la roho.serikali yenyewe haipo serious kulinda mali zake utaweza wewe????

    ReplyDelete
  6. Mateja walikuja na nyundo ya mpini wa chuma ya Kilo 49.5 kutoka Jangwani Klabu ya Yanga bondeni michichani wakapiga ikadunda,,,singe ikapinda haikutoka!

    Sasa mara ya pili watakuja na moto wa gesi ahhh hadi Bisimini mwenyewe atang'oka tu!

    ReplyDelete
  7. Hivi Wandugu meseji inayotoka kwa uwepo wa Sanamu hii ya Bismini(Askari Mshika Bunduki, tena akiwa ktk hali ya tahadhari huku singe ameichomoa mbele) kweli unalingana na uashiriaji halisi ambao tumekuwa tukiutumia na kujieleza ya kuwa ''Tanzania ni nchi ya amani?''

    Endapo ataingia Mgeni akaona Sanamu hii kweli ataamini maneno hayo?

    ReplyDelete
  8. sikubaliani na uwepo sanamu ya namna hii hapo, wajermani ndiyo walikuwa na huyo tunayemuita bisimini hapo, walipotawala waingereza wakamuweka huyo askari wao na maneno mazuri ya ulaghai ukiisoma hapo chini, lakini sisi baada ya kujitawala tumefanyaje? tumiacha kwakuwa hatuna cha kuweka au kwakuwa bado tupo chini ya malkia wa uingereza?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...