Leo Jumapili tarehe 18 March 2012, Mwimbaji wa Kimataifa wa nyimbo za Injili (Flora Mbasha) toka nyumbani Tanzania, ataimba na kumtukuza Mungu katika kanisa la Injili kwa njia ya Msalaba (The Way of the Cross Gospel Ministries) lililopo 3621 campus Drive, College Park, Maryland, USA.
Uimbaji na Ibada inaanza saa saba mchana ( 01:00 PM). Flora atasaini CD na DVD. Kwa Booking za huduma Piga simu 301 305 9685 begin_of_the_skype_highlighting 301 305 9685 end_of_the_skype_highlighting.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...