Waziri Maige wapiki kutoka kushoto mwa mpigapicha wa Televisheni , akimsikiliza mtaalamu wa Ikolojia wa Hifadhi ya Taifa ya Milima ya Udzungwa
 Waziri Maige watatu mstari wa mbele , akitoka ndani ya msitu wa Milima ya Udzungwa
Waziri wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige ( mwenye shati ya draft) akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wa Hifadhi ya Taifa ya Milima ya Udzungwa, kabla ya kuondoka kwenda Mkoa wa Iringa ,machi 12, 2012

========  ======= =========

PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI YA ZIARA YA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII,
EZEKIEL MAIGE KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA MILIMA YA UDZUNGWA
ALIYOIFANYA MACHI 12, MWAKA HUU.
HIFADHI YA UDZUNGWA IKO KATIKA WILAYA MBILI NA MIKOA MIWILI , ENEO LA
MASHARIKI MWA HIFADHIO YALIKO MAKAO MAKUU ENEO LA MANG’ULA IPO KATIKA WILAYA YA KILOMBERO , MKOA WA MOROGORO LENYE ENEO LA ASILIMIA 20 YA ENEO LOTE , UPANDE WA MAGHARIBI NA KUSINI MWA HIFADHI IPO KATIKA
WILAYA YA KILOLO,MKOA WA IRINGA , AMBAPO NI KAMA ASILIMIA 80 YA
HIFADHI.
NI HIFADHI PEKEE TANZANIA YENYE AINA 12 ZA WANYAMA AINA YA PRIMATA ,
KATI YA HAO WAPO NGOLAGA WA SANJE NA MBEGA WEKUNDU WA IRINGA NA AINA
ZA KOMBA NI WA KIPEKEE HAWAPATIKANI POPOTE ULIMWENGUNI.

( Picha na Habaari na John Nditi).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ohhh picha ya kwanza na ya pili Msituni ni kama ilivyokuwa ktk Vita vya Ukombozi na Kupigania Uhuru Msumbiji vya FRELIMO ili kumng'oa Mreno!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...