Sehemu ya mji wa Pemba kama unavyoonekana pichani mapema leo mchana

Safari ni hatua na usafiri ni usafiri tu hata ukiwa wa Ng'ombe.
Sehemu ya usafiri wa Uma kwa wakazi wa kisiwa cha Pemba,kwa jina lingine Chai Maharage,ambao ndio usafiri mkubwa unaotumika ndani ya kisiwa hiki.

Chai Maharage zikiwa zimesimama kupakia abiria na mizigo yao mapema leo mchana.


Mama mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja akiwa amebebwa na mkokoteni sambamba na mizigo yake, unaokokotwa na Ng'ombe mapema leo mchana.Mikokoteni inayovutwa na Ng'ombe kwa asilimia kubwa ndiyo inayotumika kubebea mizigo mizito ndani ya kisiwa hiki cha Pemba.Picha zaidi Bofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 29 mpaka sasa

  1. wapemba mjitahdi kujenga kwenu sio mnajenga Dar na wakati huo hamtaki muungano ni vichekesho

    ReplyDelete
  2. LAWAMA NA MALALAMIKO YA WAPEMBA:

    Wandugu mara zoote wanalalamikia dhidi ya Serikali, Muungano na Chama tawala ,Ohhh hatuna maendeleo hatuhudumiwi,

    Leo hii mfano hapa Dar Es Salaam idadi kubwa ya wamiliki wa mabasi usafiri wa Mjini ni Wapemba, angalia mabasi yote mnayapandisha majahazi kuyaleta Bara kutafuta pesa huko Kisiwani mnatumia malori na mikokoteni ya ng'ombena punda kwa usafiri,,,halafu nyienyie tena mnatoa lawama!

    MKUMBUKE MJENGA NCHI NI MWANANCHI NA PIA MHUJUMU NCHI PIA NI MWANANCHI!

    ReplyDelete
  3. Yaani home kuna ma opportunities kibaoooooooooooooooooooo. Sorry najua wengine wataona mabaya. Mi naomba nitofautiane nao kidogo mi naona mema tu!

    ReplyDelete
  4. simple life..i like it

    ReplyDelete
  5. Wapemba waone mbali jamani!

    ReplyDelete
  6. Yaani Pemba ni 'greenish' kijani tupu yaelekea kuna ardhi nzuri kwa kilimo na kama ikitumiwa vizuri kwa kilimo cha kisasa,Pemba itakuwa tajiri sana. Wapemba wekezeni katika kilimo. Wapi kilimo kwanza?

    ReplyDelete
  7. ok,watoa maoni wa kwanza na wapili ,kweli nyie mna mawazo finyu,hivi mnafikiri kuvunjika kwa Muungano ni kubaguana au kufanya vita?

    na pili kama mabasi mazuri na wamiliki maduka bara ni wapemba sasa si ndio kwenye soko?

    Mambo ya kujenga kwao na kutojenga hayo ni maisha tu kwani hamjui "HOME IS WHERE OUR FEET LEAVE BUT OUR HEARTS ARE ALWAYS THERE" nyie mnaendeleza kwenu kupitia huo muungano kama hauna faida na nyinyi mbona hamuutoi mnang'ang'ania na hayo mapunda na ng'ombe ndio maana wanalia waachiwe visiwa vyao ili wapeleke mabasi,

    huo ni ukoloni na mnataka mnufaike vya kutosha mnyonye kila cha mpemba ndio baadae muachie nchi?

    ReplyDelete
  8. Wewe Anonymous wa Thu Apr 26, 09:37:00 PM 2012

    UNAEISHIA NA...huo ni ukoloni na mnataka mnufaike vya kutosha mnyonye kila cha mpemba ndio baadae muachie nchi?

    1.SASA KAMA MNAJUA KUWA SOKO LA MABASI LIKO BARA, JE MUUNGANO MSOUTAKA UKIVUNJIKA MTAPELEKA WAPI MABASI YENU ILI KUTAFUTA PESA?

    2.KAMA MUUNGANO HAMUUTAKI KWA NINI MABASI MYALETE BARA?

    3.ANGALIENI MDAU JUU ANASEMA ARDHI YENU NI GREENISH YAANI 'KIJANIII' NA INAFAA KWA KILIMO ISIPOKUWA KWA 'UMWINYI' WENU HAMKIPI KILIMO KIPAUMBELE KWA KUWA MMEJENGA DHANA KUWA KILIMO NI UTWANA!,,,KITU AMBACHO NI KOSA KUBWA SANA NA NDIO MAANA MNAKUWA NA NJAA MARA KWA MARA PEMBA!

    4.MALALAMIKO YENU YA KUUKATAA MUUNGANO HAYANA MSINGI WOWOTE KWA VIGEZO VITATU HAPO JUU NO.1,NO.2 NA NO.3 , ZAIDI YA HAPO NINYI NDIO MNANUFAIKA ZAIDI ZA HUOHUO MUUNGANO,,ACHENI UNAFIKI WAPEMBA!

    ReplyDelete
  9. WAPEMBA:

    Ile puuuu Muungano umevunjika je, itawasaidia nini? na itakuwa kwa faida ya nani?

    MNAHANGAIKA BUREEEE MTAKUJA JUTA BUREEE!

    ReplyDelete
  10. Huyu Jamaa amefoka saana lakini ukweli lazima usemwe. Ardhi nzuri mnayo lakini wavivu nyieee. Chakula kinatoka bara, umeme unatoka bara lakini mnasema mnanyonywa, hebu eleza sisi bara tunapata nini toka Zanzibar na Pemba? Labda waganga wa kutumia majini. Acha hizi propaganza, hatufanyi biashsra yeyote huko kwenu maana hata ukifungua duka wanunuzi wanakususia, sokoni unapandishiwa bei.
    Labda ni wakati wa kuwaambia kuwa kama sio viongozi, sisi wananchi wa kawaida mnatukera sana na hatuoni faida yeyote. No huu wembe mnaoulilia tutawapa siku moja.

    ReplyDelete
  11. Ohhh huku Bara ndio kuna Masoko!!!:

    KAMA UNAONA MUUNGANO HAUNA FAIDA KWA NINI USIFANYE BIASHARA YAKO YA MABASI HUKO PEMBA AMBAKO KIWANGO CHA USAFIRI KIPO CHINI ''ZAMA ZA UJIMA'' KWENYE MAHITAJI WANAKOTUMIA USAFIRI WA MALORI, MIKOKOTENI YA NG'OMBE NA PUNDA?

    AU NDIO ZILE ZA SIZITAKI MBICHI HIZI?

    -ACHENI UVIVU,
    -ACHENI UNAFIKI,
    -ACHENI KEJELI,
    -ACHENI UBAGUZI NA DHARAU,
    -ACHENI UCHOCHEZI,
    -ACHENI UTENGANISHI,
    -ACHENI HUJUMA,
    -ACHENI LAWAMA ZA KIJINGA,
    ****SISITIZENI MUUNGANO KWA FAIDA YENU****

    ACHENI UPUMBAVU WAPEMBA FANYENI KAZI MPATE PESA ACHENI UJINGA WA KUUPINGA MUUNGANO!

    ReplyDelete
  12. BREAKING NEWS:

    Kwa taarifa yenu WAPEMBA MAALIM SEIF KWA KUWA SERIKALINI SASA NDIO AMESHARUDI C.C.M !

    ReplyDelete
  13. WAPEMBA:

    Ile Muungano ukiwa chali, mtambue kuwa mtaishi Bara huku mnakuvuna pesa mkiwa kama Wageni!

    Mkae mkijua hakutakuwa na yale mambo ya kuingia Gatini Dar Es Salaam kama inzi,,,patakuwa na Uhamiaji Bandarini na mtaishi kwa Vibali kama walivyo wenzenu Wageni WAHINDI NA MABANYAMULENGE WENGINE, WARUNDI, WA CONGO, WAGANDA WAMALAWI NA WAZAMBIA!

    ReplyDelete
  14. Ninyi kuuvunja Muungano hamuwezi kwa kuwa mnaagiza hadi nyanya, pilipili hoho, vitunguu, bamia na nyama za mbuzi kutoka Bara!

    HUYO MWARABU MNAYEMTEGEMEA NAE ANA MAPINDUZI KWAKE KAMA ILIVYOFANYIKA MAPINDUZI UNGUJA MWAKA 1964!,KILA KUKICHA MAANDAMANO NA VURUGU, WATAIBEBA VIPI PEMBA WAKATI WAO WENYEWE SERIKALI ZAO ZIMEWASHINDA?

    ACHENI MASIHARA!

    ReplyDelete
  15. huo ni ukoloni na mnataka mnufaike vya kutosha mnyonye kila cha mpemba ndio baadae muachie nchi?

    WEWE MADAU Thur Apr 26, 09:37:00PM 2012 , MPEMBA ANA CHAKE HUKO KISIWANI?

    KISIWA KINA MCHANGA TU HAKINA KITU VUMBI TUPU NA NDIO MAANA HATA NINYI WENYEWE HAMTAKI KUKAA KWENU.!

    NCHI ITANYONYWA KIPI WAKATI HAINA KITU KABISA???

    NINYI MUUNGANO UNAWABEBA SANA TU!

    ReplyDelete
  16. Kama Muungano ungekuwa hauna faida kwenu, Wakubwa wenu wangeshauvunja muda mrefu tu!

    Hao Viongozi wenu wanaelewa wazi kuwa ninyi ndio mnanufaika na Muungano na ndio maana wao wanataka Muungano uendelee lakini ninyi Wapemba 'Wavuvi' wachache akili hiyo hamna!

    ReplyDelete
  17. Acheni ubwege nyie Wapemba !

    Wengine mnapata nafasi Bara ya 1.kulewa, 2.kuvuta na 3.kugonga Mademu,,,halafu eti pyeee hatuutaki Muungano!


    Je Muungano ukivunjika 'neema' hizo hapo juu tatu (3) mtazipata huko kwenu?

    ReplyDelete
  18. wewe nawe sasa cha mpemba kitakochonywa hapo ni kipi, ilala yote mahorofa n ya wapemba ni kitu gani kinawafanya wasijenge huko? wenzenu jumuiya ya ulaya wanangangania muungano kwa kuwa wanajuwa faida ya muungano nyie mnaoupinga kwa kigezo eti wapemba wananyonywa kwa kipi??????

    ReplyDelete
  19. Picha ya kwanza imeelezwa kua ni sehemu ya mji wa Pemba. Nilikua sijui kama kisiwani Pemba kuna mji unaitwa Pemba .

    ReplyDelete
  20. Angalia Mpemba unalalamika Kisiwani mmetengwa, hamna huduma za Serikali wala Ohhh Chama tawala hakiwatendei haki!

    Wewe huyo huyo unayeilaumu Serikali na Chama tawala''''angalia picha ya No.2 na No.3 unachukua basi lako unalipakiwa ktk Jahazi unalileta Jijini Dar Es Salaam kufanya biashara ya Dala dala huku wewe Kisiwani Pemba ukibaki kutumia Kwama la kukokotwa kwa Ng'ombe na Lori kwa Usafiri wa Mijini!

    KAFARA LENU NA MZIMU WENU WA TAMBIKO NI KULALAMIKA DHIDI YA SERIKALI, CHAMA TAWALA NA KUULALAMIKIA MUUNGANO,

    TATIZO LENU WAPEMBA NI KTK MAHESABU YA FEDHA HUKU SHILINGI MKIICHUNGULIA KWA SAANA!

    ReplyDelete
  21. Baniani mbaya kiatu chake Dawa!

    Angalia Wapemba hawa, nyie pesa yenu yote na kiburi cha pesa na jeuri ya fedha mnapatia kwa kuafanya biashara huku Bara!,

    Tena mnafanya hadi biashara za magendo, wakati mwingine hamlipi Kodi au mnakwepa Kodi!.

    Halafu tena nyie hao hao hamtaki Muungano!

    Akili kweli mnayo?

    ReplyDelete
  22. Ohhh Mpwmba kwa 'falaki' anawezekana?

    Wakati wmingine hayo magari inaweza kuwa ni punda, magorofa inaweza kuwa chanja za miti sio halisi!

    Hata hela yenyewe inawezekana ni ya 'Manyau nyau' !

    ReplyDelete
  23. Nimeamini mtu hupenda asichonacho. Mi nashangaa nani analihitaji hilo dude 'muungano'. Yanini kukaa na watu wajuao kunung'unuka tu daima kama wake wenza. Wao wanataka kuishi bara lakini hawawataki wabara wakao kwao eti walevi wakati mi najua wengi wao ni wanywa gongo na wavuta bangi wakubwa sema tum unafiq wa kujificha.

    ReplyDelete
  24. PEMBA:

    Mnajidumaza wenyewe kimaendeleo bila sababu kwa kujilazimisha kubakia kwenye Mfumo wa Maisha wa UJIMA!

    Dunia imepiga hatua sasa, na vitu kama Wanyama sio wakati wake vikatumiwa kama njia ya usafiri kama ilivyokuwa kwenye Mfumo wa Maisha ya Binaadamu uliopita wa Ujima!

    Kwanza kwa haki za Viumbe mpo nje na mnaweza kuburuzwa ktk Sheria na Wanaharakati kwa kitendo cha kuwatumikisha mifugo bila sababu wakati magari mnayo na hakuna 'dharura' yeyote kwa nini hii karne ya 21 mtumie Wanyama kwa usafiri?

    HAPO MKIULIZWA MTASEMA:

    -OHHH TUMEFIKIA HAPA KWA SERIKALI YA MUUNGANO IMETUSABABISHIA SISI KUWA MASIKINI NA KUTUMIA WANYAMA KTK USAFIRI!,

    -OHHH NI KWA SABABU YA MUUNGANO NDIO MAANA TUNATUMIA WANYAMA KTK USAFIRI!,

    -OHHH NI KWA SABABU YA CHAMA TAWALA NDIO TUMEFIKIA KUTUMIA WANYAMA KTK USAFIRI!.

    HAMSENI MABASI MMEYALETA BARA KWA TAMAA YENU YA UTAJIRI, BALI MNATOA MALALAMIKO YA KUKWAMISHWA KIMAENDELEO DHIDI YA SERIKALI NA MAMLAKA DAIMA!

    acheni kupinga Maendeleo na kujidumaza wenyewe Kimaendeleo!

    ReplyDelete
  25. Tuachie nchi?

    Hadi mali itakapokweisha?

    Pemba kuna kitu gani wakati pana mawe ya bahari matupu pale,,,hata samaki wenyewe wanaishi kwa bahati ya Mungu tu!

    Ninyi hamna nchi jamani acheni tuwabebe Bara!

    ReplyDelete
  26. Hahahahaha,

    Ahhh hii hapana!

    Watu wanakwenda na Karna ya 21 ninyi mnajiweka ktk Karne ya 12 kwa kujitakia?

    Wapeni Ng'ombe haki kama mnavyodai ktk Majukwa ya Siasa, HAKIII SAWA, HAKIIIII SAWA, HAKIIIII SAWA KWA WOTE HADI MIFUGO!

    HAKI NA PEPO KWA BINAADAM WA KIPEMBA LAKINI UONEVU, KIAMA NA JEHANNAM KWA NG'OMBE?

    SIO HAKI KWA SIASA ZA C.U.F LAKINI DHULUMA KWA NG'OMBE NA MIFIGO HII ITAKUWA MTIHANI KWA ALLAH(S.W)!

    ReplyDelete
  27. UADILIFU MTAUWEZA?

    -Kweli uwezo wa kuendesha Serikali mnao?

    -Mnafikiri uwezo wa kuendesha Mgahawa wa Chai, Genge la Urojo na Visheti au biashara ya basi la Daladala (Tena kwa kutumia Bahati na 'uwezo wa Falaki') huku Elimu mkiwa hamna mtaweza au ndio sawa na kuendesha Serikali?

    -Ninyi CUF hamuwatendei haki ng'ombe kweli Serikali yenu itawatendea HAKI NA UADILIFU Binaadamu wengine wasio Wapemba?

    ReplyDelete
  28. VIPANDE VYA MOJA KWA MOJA KWA WAPINGA MUUNGANO:

    *****DIRECT FAX*****

    1-DUNIA INATAFUTA KUUNGANA ILI KUKIDHI MAHITAJI NA KUTATUA MATATIZO KWA PAMOJA, MIFANO YA MASHIRIKISHO, NI UMOJA WAULAYA (EUROPEAN UNION), JUMUIYA YA AFRIKA YA MAGHARIBI (ECOWAS), NA SASA TUNA JUMUIYA YA AFRIKA YA MASHARIKI IKIWEMO HIYO HIYO UNGUJA NA PEMBA ALIYOPO HUYO MPINGA MUUNGANO WA KWANZA HAPO JUU.


    2-ATASEMA ANAVUNJA MUUNGANO ILI AENDE KWA MWARABU HUKO (YEMENI) AU (OMANI), WAKATI HUKO NDIO HAKUKALIKI KUNA 'ARAB SPRING' MAPINDUZI YAMEWAKA MOTO NI MAANDAMANO KILA KUKIKCHA WANABURUZANA YAO YAMEWASHINDA HIVYO ELEWA HAWANA HAJA YA UNGUJA NA PEMBA!

    SASA HATUJUI HUYO MPINGA MUUNGANO ATAENDESHA VIPI NCHI YAKE AKISHAVUNJA MUUNGANO?

    3-ZANZIBAR NA PEMBA ZINANUFAIKA ZAIDI NA MUUNGANO YEYE KWA VILE NI MVUVI WA SAMAKI HILI HALIJUI , WANAOLIJUA HILI NI VIONGOZI WA JUU PAMOJA NA WAZANZIBARI WAELEWA NA WALIOSOMA.

    4-WENGI WA WAPINGA MUUNGANO NI 'LUPMPEN PROLETARIAT' WATU WASIOSOMA, WALIOJIPOTEZEA MAISHA KWA UJINGA WAO, NA WASIOKUWA WAELEWA KAMA HUYO MJINGA MPINGA MUUNGANO, PANA TOFAUTI KUBWA KATI YA MTU ALIYESOMA NA ASIYE SOMA , ZAIDI YA HAPO PANA TOFAUTI KATI YA MWELEWA (HATA AKIWA HAJASOMA) NA MJINGA !

    5-PANA WAZANZIBARI KADHAA WAELEWA SAANA NA HAWA NDIO WATU MUHIMU SANA AMBAO WATAWEZESHA MAMBO KUWA, LAKINI SIO HUYO MJINGA HAPO MPINGA MUUNGANO.

    6-UJIO WA AFRIKA YA MASHARIKI TULIO NAO SASA NDIO UTAIPATIA ZAIDI ZANZIBARI FAIDA KWA KUWEPO KTK MUUNGANO KULIKO ILIVYOKUWA KABLA NA HIVYO KUVUNJA MUUNGANO NI KUWA ZANZIBARI ITAPOTEZA SANA, *****(((((NDIO MAANA MAALIM SEIF ALIKUWA NI MPINGA MUUNGANO MKUBWA LAKINI KWA KUWA KTK HAO WAZANZIBARI WAELEWA WACHACHE PIA MAALIM SEIF YUPO NA NDIO MAANA HIVI SASA HAONGELEI KUHUSU KUVUNJA MUUNGANO NDIO KWANZA ANATAKA KUDUMISHA UKARIBU NA MSETO WA KISERIKALI ILI KUIPATIA ZANZIBARI FAIDA KWA KUINGIA KATIKA JUMUIA YA AFRIKA YA MASHARIKI IKIWA NI SEHEMU YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA)))))*****.

    7-KAMA ZANZIBARI INGEFANIKIWA HAPO NYUMA KUKURUPUKA NA KUUVUNJA MUUNGANO NA HIVI SASA INGEKUWA INAJUTA SAANA KWA KUWA FAIDA YA KISIASA NA KIUCHUMI YA JUMUIYA YA AFRIKA YA MASHARIKI INGEIKOSA.

    8-FAIDA ZA JUMUIYA YA AFRIKA YA MASHARIKI,
    (i)Uhamishaji wa Mitaji na kukuza mzunguko wa kiuchumi fedha na biashara, wewe utauza bidha zako ktk nchi 5 (Tanzania, Kenya,Rwanda, Burundi na Uganda)bila vizuizi na Kodi kubwa na vikwazo za vizuizi kama unavyopata kupeleka bisahara au kuleta biashara kutoka huko unakotegema Arabuni.

    (ii)Wewe Mpinga Muungano huna kazi na mtaji huko Zanzibari utaweza kupata kazi na mtaji kwa kwenda nchi zingine za Jumuia (Kenya,Uganda,Burundi na Rwanda)bila vizuizi kama unavyopata ukitaka kwenda Oman na Yemen kwa Waarabu wako hao.

    (iii)Wewe Mpinga Muungano utapata nafasi ya kujifunza Ujuzi kutoka nchi zingine 5 kama inavyoonyesha kuwa akili yako ni finyu kabisa hivyo utanufaika sana.

    (iv) Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki zimebarikiwa na vitu tofauti, Mfano:
    -Uganda imepata Mafuta
    -Tanzania,Gas,Uranium,Gold,Diamonds ,Mafuta na Madini mengine mengi tu,
    -Kenya ina viwanda Masoko ya Bidhaa na Huduma za Biashara,
    -Rwanda ina Bati,Zinc, Coltan madini yanayotengenezea vifaa vya Teknolojia kama simu na komputa n.k.
    -Burundi ina Kahawa na Masoko ya bidhaa.
    -Sudani ya Kusini inaelekea kuwa mwanachama wa Afrika ya Mashariki ina mafuta mengi sana.

    Na faida nyingine nyingi tu.

    HIVYO ZANZIBARI KWA KUWA KTK UMOJA HUU ITANUFAIKA ZAIDI NA UTAJIRI HUU.

    9-KWA KUWA KTK JUMUIYA YA AFRIKA YA MASHARIKI UTAJIHAKIKISHIA AMANI ZAIDI KULIKO ILIVYO SASA, KWA KUWA KWA USIMAMIZI MAKINI WA SERIKALI ZA NCHI 5 NA UELEWANO KITU KAMA 'VITA' HUTAKISIKIA TENA MAISHANI.

    10-LENGO LA VIONGOZI WA SERIKALI YA MSETO ZANZIBARI ILIYOUNDWA KWA BUSARA ZA HALI YA JUU KABISA NA C.U.F NA C.C.M NI KUKUHAKIKISHIA WEWE MPINGA MUUNGANO UNAPATIWA MANUFAA ZAIDI NA ZAIDI KAMA UNAVYOOONA KTK JUMUIYA YA AFRIKA YA MASHARIKI NA PIA IKIWEPO JAMUHURI YA MJUUNGANO WA TANZANIA.

    WOTE WAPINGA MUUNGANO:

    MZINGATIE MAMBO HAYA 10 ILI MPATE UELEWA.

    ReplyDelete
  29. AnonymousMay 01, 2012

    Barua ya Uchumba kwenu Wapemba:

    Isipokuwa mimi na ninyi tutakorofishana kitu kimoja, mchukie msichukie,,,NI KUWA LAZIMA NIWE MUWAZI NA NISIWE MNAFIKI:

    MIMI WANAWAKE WENU NINAWAPENDA SAAANA NA SHUNGI ZAO HIZO NA JINSI WANAVYOVAA KWA VILE MIMI NI USTAADH.

    KWA HIYO HODI HODI NITAKUJA PEMBA KULETA BARUA YA KUOA!

    NA HII PIA ITAKUWA SEHEMU YA KUDUMISHA MUUNGANO!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...