Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi Mchango wa Shilingi Milioni Moja {1,000,000/- } Mkurugenzi wa Kikundi cha Zanzibar One Taarab,Ustaadhi Abdulla Ali kufuatia ahadi yake aliyoitowa tarehe 21/4/2012 wakati wa kilele cha Maadhimisho ya kutimia miaka mitano tokea kuanzishwa kwa Kikundi hicho.Hafla hiyo iliyofanyika Bwawani Mjini Zanzibar,Balozi Seif alikuwa Mgeni Rasmi katika hafla hiyo.
Home
Unlabelled
Balozi Seif Iddi akabidhi mchango wa Mil. 1 kwa kundi la Zanzibar one taarab
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
I thought Zanzibar is a bit serious...
ReplyDelete