Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Jamani watanzania tusifanye ule ujinga wetu wa nyumbani tukaupeleka kwenye bunge la East Africa, maana huko wabunge wenzetu wa Kenya & Uganda, Rwanda hawaji kwa njaa za kutafuta ulaji, wanakuja kwa sifa-credentials, na proven capability haswa kutete maslahi ya nchi zao kwenye jumuia. Pia utagundua kuwa wao ni wajuzi wa biashara haswa. Kwenye bunge la East Africa sio sehemu ya ubishi wa mimi sikubali bwana bila hoja, na hakuna mambo ya ujamaa, ni hoja za maana na zenye misingi. Sasa watanzania tukiwachague wabunge wetu wa EA kwa vigezo vilevile vya wabunge wa kizota tumeumia. Kumbukeni kuwa Tanzania tuna kura 1 tu kati ya 5 ili kupitisha mswada bungeni la EA, hivyo ni vyema hao wabunge wetu wawe wenye sifa haswa la sivyo umjilalamikie wenyewe kuwa umeburuzwa EA assembly, alex bura, dar

    ReplyDelete
  2. CCM, Hell no.

    ReplyDelete
  3. As long as its CCM, amepoteza sifa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...