Rais Mteule Khatib Juma Pandu akiapishwa kuwa Rais wa Chuo cha Utawala wa Umma Zanzibar IPA na Mwanasheria Humud Said Humud katika sherehe zilizofanyika katika Ukumbi wa People Palace Forodhani mjini Zanzibar.
Rais Mteule Khatib Juma Pandu akitia saini hati ya Kiapo kuwa Rais wa Chuo cha Utawala wa Umma Zanzibar IPA na kushuhudiwa na Mwanasheria Humud Said Humud katika sherehe zilizofanyika huko kwenye Ukumbi wa People Palace Forodhani mjini Zanzibar.
Rais Mteule Khatib Juma Pandu akitoa hotuba ya shukrani kwa Wanafunzi na waalikwa mbalimbali Baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Chuo cha Utawala wa Umma Zanzibar IPA kaatika sherehe zilizofanyika kwenye  Ukumbi wa People Palace Forodhani mjini Zanzibar.kulia kwake ni Rais Mstaafu wa Chuo hicho Haji Abdulswamad na kushoto yake ni Mkurugenzi wa Chuo cha Utawala wa Umma Biharusi Masheko Ali.
Wanafunzi wa Chuo cha Utawala wa Umma Zanzibar IPA wakicheza na kufurahia katika sherehe ya Kumuapisha Rais mpya wa Chuo hicho.
Baadhi ya Wanafunzi waliohudhuria katika sherehe hizo wakimpongeza Rais Mteule baada ya kula kiapo cha kuwa Rais wa Chuo cha Utawala wa Umma Zanzibar IPA katika sherehe zilizofanyika huko kwenye Ukumbi wa People Palace Forodhani mjini Zanzibar.
Mgeni rasmi katika hafla ya kumuapisha Rais wa Chuo cha Utawala wa Umma Biharusi Masheko akitoa hotuba kwa wanafunzi pamoja na waalikwa mbalimbali waliohudhuria katika hio iliofanyika katika Ukumbi wa People Palace Forodhani Mjini Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI ALI -MAELEZO ZANZIBAR.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Wasichana wakiZanzibari mnapendeza sana mnavyokuwa kwenye mavazi yenu ya kistaha, msikubali utstaarabu wa watoto wakike kutemea makwapa wazi, vitovu nje mabega wazi nusu uchi msikubali kabisa.

    ReplyDelete
  2. Asalama Leko zenu Mademu wa Kizanzibari !

    Mpo 'watamu' kwa vile mnajiheshimu, hebu tuangalie chakula kilichoandaliwa bila kufunikwa kwa Kawa mlaji anakuwa anakiona na anashiba kabla ya kuanza kumega kukila, lakini chakula kilicho funikwa kwa Kawa mlaji anakuwa na hamu ya kutaka kujua ndani kuna nini? kabla ya kuanza kula na ndio maana hata kama atakuwa ameandaliwa 'kitumbua' kimoja kikuubwa kwa chai ya rangi mlo utakuwa mtaaamu sana!

    ReplyDelete
  3. Heko rahisi,bodigadi wako naona yu makini hasa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...