Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Naona nchi nyingi zililia kwa nini toka ianzishwe shirika hilo marekani ndio inaongoza duniani ndio inatoa pesa nyingi duniani na nchi kama afrika ndugu zetu wa nigeria wanashindwa kuelewa rushwa ilivyojaa hadi haifichiki nani angewapa nafasi inabidi afrika tujisafishe sana sana sana angalau wakati ujao tutajaliwa nafasi

    ReplyDelete
  2. Hili sio shirika la marekani. Someni history ya IMF na World Bank. Haya ni mabenki ya watu binafsi yaliyoundwa makusudi sio kusaidia maendeleo bali ni kuziangamiza nchi zisiendelee ili ziweze kutawaliwa zaidi. Someni watanzania habari ziko katika mtandao.

    ReplyDelete
  3. NIGERIA:

    Nchi aliyotoka Bi Mkubwa ndio imemponza !

    Angalau angetokea walau Malawi au Tanzania yetu angekula shavu, Mapopo (Yeye anajulikana yupo safi lakini ndugu zake Wanaijeria ni Mabingwa wa Usanii Duniani!!!) wangeifilisi Benki ya Dunia, toka lini Fisi akakabidhiwa Bucha la nyama?, kwani Wamarekani hawana akili?

    ReplyDelete
  4. Worl Bank ni bank inayomilikiwa na Wamarekani kwa faida yao wenyewe. Sisi tunajipendekeza na wajinga ndio waliwao. Waafrika tuungane tuachane na haya mambo ya Wamarekani, tutazidi kurudi nyuma kwa kufuata mambo yao

    ReplyDelete
  5. I think he prefers coffee, white, no sugar please! Thanks.

    ReplyDelete
  6. As always, africans we blamed white man for everything...Who sell your land to white man? who received corruption to approve bad contract? Kigoda, Richmond and all others...its black man selling another black man, only white man happened to be a consumer. If we (african) will just do things on behalf of everyone instead of just me and my family...we would be in that mess...When foreigners come to our african countries to invest, first thing comes to the people involved in the process is my 10% NOT is it good for public. We are greed, selfish and ignorant human being. And they mislead people by blaming white man, they didn't force us to sign bad contract we did ourselves.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...