Album mpya ya LADY JAYDEE. Inayoitwa 'Ya - 5 The Best Of Lady Jaydee' sasa inapatikana online kupitia Itunes. Wapenzi wa muziki wa KiTZ na wapenzi wa muziki wa Jide wanaweza kufata kupitia link hii ya itunes
Home
Unlabelled
News alert! Lady JAYDEE Cd Album OnLine
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Iko pia amazon nimeinunua leo, congrats Jide tutaendelea kukusapoti
ReplyDeleteHongera sana lady Jay Dee..! Wewe ni mkali bado cjaona kama wewe!
ReplyDelete