Diamond akiaga kwa saluti muda mfupi kabla ya kupasua anga kutokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam na kuelekea kiota cha matanuzi cha Dar Live cha Mbagala
 Sio kampeni bali ni chopa iliyombeba Diamond ikitua Mbagala
Diamond akimuaga rubani wa chopa. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 01, 2012

    YES:

    Mbagala, Mbagala, Mbagala!

    Imekaa vizuri Mpiganaji Diamond, fanya kweli babake!

    Sasa unaingia Mujini Mbagala kwa Chopa/ Helicopter!

    Sasa itabidi uimbe wimbo wa kuipaisha Mbagala baada ya 'kuichana vibaya' mwaka 2009 ukisema 'Mbagala huku nyumba huku Jalala' !!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 01, 2012

    Diamond uko juu, hongera zako! kuuliza si ujinga, hivi hizo nguo za kijeshi zinamaanisha kitu gani hapo??!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 01, 2012

    Diamond waombe radhi wana Mbagala...Unakwenda kufanya nini tena huko kwenye 'majalala'.??

    David V

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 02, 2012

    Naona imepigwa ribiti kibao, chonde chonde jamani msije mkaleta balaa nyingine huku Mbagala.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 02, 2012

    Mdau Wed May 02, 02:44:00 PM 2012

    Mbagala hatuwezi kuteseka na kuanguka kwa Helikopta ni vile mita kadhaa tuna Kambi ya Jeshi wataruka na Miamvuli kwenda kumuokoa Diamond angani pamoja na kandia zake kwetu kipindi kile mwaka 2009-2010,,,ktk wimbo wake dhidi ya Mbagala!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 03, 2012

    Wana Mbagala hatuwezi kumwacha Bwana Mdogo Diamond anaaga maisha kwa kuanguka na Helikopta kipindi hiki akiwa na mafanikio yake makubwa ki Sanaa na ki fedha!

    Kama mwana ndugu tutasahau wimbo wake 'Mbagala jalala' dhidi yetu na kumuokoa ili aendelee kutuliwaza mara kwa mara hapa kwetu Kiotani Dar Live!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...