Tunapenda kuwafahamisha watu wote kuwa mafundisho ya neno la Mungu
kutoka kwa mwalimu Christopher Mwakasege sasa yanarushwa online kila
siku saa 10 na nusu usiku na kurudiwa jioni na saa 10 na nusu (saa za
Tanzania), katika link zifuatazo:
Kwa wenye PC tumia:
Kwa wenye Mac na Linux tumia:
Kumbuka ni kila siku saa 01:30GMT na kurudiwa 13:30GMT (Saa za
Marekani ni 09:30 Eastern na kurudiwa 21:30 Eastern).
Mdau Kavishe
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...