Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (kushoto), akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh.milioni moja, Katibu Msaidizi wa Timu ya Ashant United, Haji Bechina, ofisini kwake Dar es Salaam, kwa ajili ya kusaidia timu hiyo katika mashindano ya Kanda ya mkoa huo. Fedha hizo zimetolewa na Manispaa ya Ilala.
Home
Unlabelled
Meya wa Ilala aipiga afu timu ya Ashanti United
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...