Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi (kulia) akizungumza na Waandishi wa Habari (Hawapo pichani) wakati akitoa tamko la Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Dodoma kuhusu mustakabali wa Amani, Ulinzi na Usalama katika kipindi cha Mikutano yote ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kushoto ni kaimu Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mhe. Betty Mkwasa.
Baadhi ya Waandishi wa Habari wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa (Hayupo pichani).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...