Getruda Evarist Mmanda (mwenye picha hapa juu) ni mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Luguruni iliyoko Mbezi Kibamba.
Katoweka nyumbani kwao (Mbezi kwa Msuguri) siku ya jumapili ya tarehe 25/03/2012 na hajulikani alipo mpaka sasa.
Kwa yeyote atakayemuona tunaomba awasiliane nasi kwa namba 0756538906 / 0713975215 au ampeleke kituo chochote cha Polisi kilicho karibu yake.
Taarifa ya kutoonekana kwake zimefikishwa Polisi (Kova Police Post – Mbezi kwa Msuguri ) na RB namba KVP/RB/239/2012 kutolewa siku ya tarehe 26/03/2012.
Taarifa hii imetolewa na Baba Mzazi Evarist Mmanda.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...