Home
Unlabelled
Pipa letu la Kuazima Bado lipo Juu ya Mawe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kuna moja huwa naliona Mwz uwanja wa ndege pale sijui ndiyo hili..hili nadhani halikuwa la kuazima..lilikuwa la kwetu kabisaaaa,yalikuwa kama matatu hivi(737-200 series).ATCL watakuwa wameya'ground' yalikuwa na 'incidents' kibao tena zile "near miss" hahahahaa.
ReplyDeleteHivi "linchi" lote hili la Tanzania linakosa kweli dola mil88-95 za kununu ndege moja tu mpyaaa ya kisasa??.Narudia ndege mpyaaaaaa.
David V
Michu niulizie kama wanaliuza nitalinunua mimi.
ReplyDeleteJamaa wamehakikisha haliruki ili kule kwenye zile kampuni zao wanakopewa mishahara ndege zao ziendelee kutawala nchi.....hata tukinunua ile ya obama jamaa wataiua tu makusudi, na kuwauzia washikaji wa kampuni ile vipuli hahaha bongo tambalaleeeeeeeeeeee hadi naogopa hakuna hata kichuguuu
ReplyDeletehlo si ndo lile pipa lilozngua wakasema mmliki kashalipwa na insurance company yake kwahyo ndege inamilikiwa na hyo kampun co mali ya ATCL na hawawezi kununua kitu kilichotumika kutokana na kubanwa na sheria za nchi
ReplyDeleteyani hawa watu wanaona roho za watu hazina dhamani kabisa yani hilo dege linamiaka zaidi ya 20 linatumika mpaka huko lilipotoka washalipiga marufuku kuonekana sasa sisi na selikali yetu bado tunalingangania mpaka lilete maafa makubwa hapo limetoa tahadhali wakilirusha tena ndio linatoa kafara kabisa hatobaki abiria mungu tuepushe na hawa mafisadi wetu selikalini
ReplyDeleteHili linapigiwa hesabu. Hakuna kitu cha ajabu kilichoharibika...wanaliacha hapo baadaye waseme linapigwa mnada. Hamuwajui hawa ndugu...!!
ReplyDeletesasa sijui ni ujinga au ni ufisadi kwasababu sijui ni kwanini pesa zetu zitumiwe kununua lemon kama hii. hizi ndege za atcl mara nyingi hununuliwa kutoka matapeli. hayo matapeli wamekwisha kujua ni rahisi kuuzia lemons to some suckers kama sisi na ndio sababu hatuishi kununua ndege kama hizi. kwani ni lazima serikali iwe na airline wakati hawawezi kuiendesha. watanzania tuna shida nyingi sana kwahiyo hatutaki pesa zetu kuchezewa.
ReplyDeleteIshakuwa makazi ya mendeeee
ReplyDeleteIshakuwa makazi ya mende hiyo, au kuna watu wanachoma kamhogo kaka
ReplyDelete