RAIS DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE AKIWA KWENYE MAHOJIANO NA BW. FRANKLIN MARTINS WA CINEVIDEO PRODUCTION YA BRAZIL IKULU JIJINI DAR ES SALAAM. BW MARTINS ALIWAHI KUWA WAZIRI WA MAWASILIANO YA HABARI (SOCIAL COMMUNICATION) WA BRAZIL WAKATI WA UTAWALA WA RAIS LULA. MAHOJIANO HAYO, YALIYOHUSU MASUALA MBALIMBALI IKIWEMO MAENDELEO YA NCHI, SIASA, UCHUMI NA JAMII, YATARUSHWA KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TV DUNIANI
RAIS DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE AKIPEANA MIKONO NA BW. FRANKLIN MARTINS WA CINEVIDEO PRODUCTION YA BRAZIL BAADA YA KUFANYA NAYE MAHOJIANO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM. BW MARTINS ALIWAHI KUWA WAZIRI WA MAWASILIANO YA HABARI (SOCIAL COMMUNICATION) WA BRAZIL WAKATI WA UTAWALA WA RAIS LULA. KULIA NI PRODUCER NA DIRECTOR WA CINEVIDEO BI MONICA MONTIERO.
RAIS DKT JAKAYA MRISHO KIKWETE AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA CREW YA CINEVIDEO PRODUCTION YA BRAZIL BAADA YA KUFANYA NAYO MAHOJIANO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.PICHA NA IKULU.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...