Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Naanza na samahani, maana hii si hali ya kawaida kwa mtazamo wa jicho la kengeza. Majuzi hivi tulifiwa na Mzee wetu Mzee Saidi Fundi Kipara.Hatukuona viongozi kutoa haya mamilioni kusaidia wafiwa. Mzee kipara ni mmoja kati waasisi ya fani ktk nchi yetu. Ameumwa hatukumuona hata katibu kata akienda kutoa pesa za kata kusema tumsaidie matibabu. Lakini Mungu anawaona kwa hayo muyatendayo basi mjue ipo siku nanyi au nasi tutakuwa pamoja ktk tumbo la Ardhi. Wakati huo mtawala wa Ufalme wa kweli ndipo atakapoamua kuhusu dhulma hizi mzifanyazo. Shukrani naomba michuzi usiibanie hii pls.Thanks.

    ReplyDelete
  2. Tumestuhswa na tumesikitika sana kwa kifo cha Steven Kanumba.Kwa binafsi nikiwa ni mtanzania ninayeishi nje ya nchi nilifaidika sana na maigizo yake kwani pia alikuwa ana talent ambayo ingemfikisha mbali sana.Niliposikia habari ya msiba huu kwanza nilidhani ni April fool but it was not. Gone too soon REST IN PEACE MY BROTHER.Last but not least thanks Michuzi for keeping us updated with all the news from from.With love a sister from Toronto.

    ReplyDelete
  3. Well done michuzi! umeelezea vema kabisa na kusema wazi kutoonyesha picha ya marehemu kuna blog moja waliweka yaani imeniuma sana huyu dada hajui haki ya mtu hata akwia amefariki? na sasa watu FB wameweka picha picha hiyo very sad. Michuzi unaheshima sana kaka yangu !

    ReplyDelete
  4. MIMI TOKA MWANZO NASEMA KUFANYA KOSI SI KOSA LAKINI KURUDIA KOSA NI KOSA.SASA SISI TULIOBAKI TUJIFUNZE NA KUFO CHA NDUGU KAKA YETU KANUMBA. VIJANA OENI NA KINA DADA OLEWENI. MTAKUWA MUCH MUCH BETTER ACHENI MAISHA YA LEO HUYU KESHO YULE YANAKUJA NA COST ZAKE. ITAKUWA AJABU UKASIKIA KAKA MICHUZI AMA KINA JOSE MARRA AMA VAN VICKER WA GHANA WAMEKUWA KWENYE HUU MTAFRUKU. TULIENI NA NDOA ZENU ENDESHENI SHUGHURI ZENU HUKU MKIMWOGOPA MUNGU. KINA NDUGU ZANGU DIAMOND, WEMA, AUNT NA WENGINE FANYENI HIMA MAISHA YA KURUKARUKA YANA COST ZAKE.MWENZETU KINA JOSEPH MARRA SIYO MBUMBUMBU WAMEONA MBALI. TULIENI MUDA UMEKWENDA SASA. MICHUZI WEKA HII COMMENT NAELIMISHA JAMII HAPA.

    ReplyDelete
  5. It's sad tanzanians majority of then now come to realize how good and wise Steven Kanumba was after he died. It's shame people especially media which used to trash him now embrace him and profits by his death by selling his profile. Aibu tupu.

    ReplyDelete
  6. R .l . p kanumba

    ReplyDelete
  7. Tusifanye Mchezo na Kifo,
    Ametangulia Kanumba na sisi tupo njiani na ni vile hakuna atakae epuka utaratibu huu wa kuzaliwa na kufa !

    ReplyDelete
  8. jamani..R.I.P gone too soon nilivosikia sikutegemea kabisa...ila MUNGU ndio alivyopanga mwenzetu kashaondoka sisi hatujui tutaondoka vipi..tuendeleeni kusali jamani...thank you

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...