IJUMAA(27/04/2012):
SAA 04:OO asubuhi:Mwili wa marehemu kufikishwa nyumbani kwake Mkwepu/IndiraGandhi street (KVD) SAA 08:00 mchana :Ibada kufanyika Kanisa Kuu Jimbo La DSM-St.Joseph Cathedral
JUMAMOSI(28/04/2012):
SAA 01:00 asubuhi: mwili kuwasili nyumbani kwa marehemu Majengo Moshi
SAA 04:00 asubuhi :Ibada kufanyika Kanisa La Kristu Mfalme Moshi Mjini
SAA 06:00 mchana: Msafara kelekea Kijijini kwake Kilema Kimaroroni
SAA 08:00 mchana: Ibada kufanyika Kanisa La St.Bernadeta Kilema
SAA 11:00 jioni : Mwili wa marehemu kupumzishwa katika Nyumba yake ya Milele Kimaroroni
BWANA alitoa,na BWANA ametwaa; jina la BWANA na libarikiwe.Ayubu 1:21b
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
ReplyDeleteApumzike kwa amani, amina! Na pole kwa familia yake hasa mke wake na mtoto wao Andrea!
ReplyDeleteWeka wazi, kumbe huyu ndiye mwenye kampuni ya KVD pale mtaa wa makunganya Dar. Pale vipuri vingi vya kompyuta na elektroniki vinapatikana tele kwa bei nzuri. Mungu amlaze mahali pema.
ReplyDeleteBwana ametoa na bwana ametwaa Jina lake libarikiwe,
ReplyDeleteApumzike kwa Amani mpendwa wetu. Amina