Familia ya marehemu Johnson Malume Mpanda wa Kijiji cha Nkalakala wilaya ya Iramba mkoani Singida na Familia ya ndugu Paul Johnson Malume wa Chole road, Masaki Dar es Salaam inapenda kutoa shukrani kwa uongozi wa kanisa la KKKT Msasani na KKKT Kiluvya pamoja na ndugu, Jamaa, majirani, marafiki walioshiriki na kuwafariji katika msiba wa Baba yao uliotokea tarehe 29 machi, 2012 katika hospital ya mountukombozi jijini Dar es Salaam na Mazishi kufanyika tarehe 31 machi, 2012 kijijini Nkalakala Singida.
Familia inawaomba ndugu, majirani na marafiki kushiriki katika ibada ya shukrani itakayofanyika katika kanisa la KKKT usharika wa Msasani siku ya Jumapili tarehe 29.04.2012 muda saa 1.00 asubuhi.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa , Jina la Bwana libarikiwe.
R.I.P MZEE MALUME,BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA...JINA LAKE LITUKUZWE...MUNGU AMEKUPENDA ZAIDI.
ReplyDeletemungu akurehemu babu yangu.....i will miss you so much. mungu ashukuriwe kwa umri mrefu aliokujalia duniani.
ReplyDeleteREST IN ETERNAL PEACE MZEE MALUME, AND STAY WELL OUR BOSS Eng.PAUL MALUME(son of the deceased),
ReplyDeleteFROM SOME OF THE TPA-marine engineering staffs