
Ni vigumu kutaja mtu mmoja kuwa ndiye aliyekuwa na msaada zaidi, na kwa kuwa si rahisi kuwataja wote ila kama familia hatuna budi kutoa shukrani zetu kwa Madaktari na wauguzi wote wa hospitali za Mkoa Morogoro na Regency ya jijini Dar-es-salaam.
Pia tunawashukuru Magereza Makao Makuu, Chuo Kikuu cha Dar-es-saalam, Wamiliki wa blog mbali mbali kwa msaada wao wa hali na mali.
Shukrani za pekee pia ziuendee uongozi wa kanisa katoliki parokia ya Mtoni Kijichi-Dar-es-salaam na Mtakatifu Patrick Morogoro kwa msaada wa kiroho.
Tunaomba wote mzipokee shukrani zetu hizi za dhati na kwamba Bwana awabariki kwa moyo mliounyesha kwa familia.
Tunapenda kuwakaribisha wote kwenye mkesha maalum wa kuyaenzi maisha ya mzee wetu na mkesha wa msalaba utakuwa tarehe 13.04.2012 kuamkia tarehe 14.04.2012 (Jumamosi) ambayo itakuwa ni siku ya msalaba wenyewe.
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe
[Ayub. 1:21]
R.I.P MZEE JAKA. Kizito Jaka and family my condorence to you. Mwabuki, John. "ej70@hotmail.com"
ReplyDelete