Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda (kulia) akiwa katika kikao cha pamoja na wabunge wapya wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka Tanzania waliochaguliwa na Bunge jana. Wabunge hao walikutana na Mhe. Spika kwa lengo la kufahamiana pamoja na kupewa maelezo ya awali kuhusu mahusiano ya Bunge letu na Bunge la Afrika Mashariki.
Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya nje, Ulinzi na Usalama Mhe. Edward Lowasa (Mb) akifafanua jambo kuhusu utendaji kazi wa Bunge la Afrika Mashariki na Bunge letu wakati wa kikao kati ya Spika na wabunge wapya wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka Tanzania waliochaguliwa na Bunge jana. Wabunge hao walikutana na Mhe. Spika kwa lengo la kufahamiana pamoja na kupewa maelezo ya awali kuhusu mahusiano ya Bunge letu na Bunge la Afrika Mashariki.
Makamu Mwenyekiti Kamati ya Mambo ya nje, Ulinzi na Usalama Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb) akiwaeleza jambo wabunge wapya wa Bunge la Afrika Mashariki wakati wa kikao kati ya Spika na wabunge wapya wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka Tanzania waliochaguliwa na Bunge jana. Wabunge hao walikutana na Mhe. Spika kwa lengo la kufahamiana pamoja na kupewa maelezo ya awali kuhusu mahusiano ya Bunge letu na Bunge la Afrika Mashariki.
Mmoja wa wabunge waliochaguliwa kwenye Bunge la Afrika Mashariki,akichangia mada kwenye mkutano huo.
Wabunge wapya wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka Tanzania waliochaguliwa na Bunge jana wakimsikiliza kwa Makini Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda (hayupo pichani) wakati alipo kutana nao kwa lengo la kufahamiana pamoja na kupewa maelezo ya awali kuhusu mahusiano ya Bunge letu na Bunge la Afrika Mashariki.Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mimi na chukia uhandishi huu wa kurudiarudia maneno badala ya kueleza nakutaja wabunge walio chaguliwa wanasifa gani wanamalengo gani wanatoka wapi kabla ya hapo walikuwa wananya nini kurudia rudia maneno hiyo ni toitogys

    ReplyDelete
  2. Haahaa anonymous una hasira! sasa nawe vidole haviangalii 'key board'? inabidi tubuni comment yako sasa Yaani unamaanisha hao wabunge "wananya"? ni maana tofauti katika kibantu yaani kitenzi -nya. kama ilinyo -nywa. Sasa hao wabunge kwa nini wanya??????:)e bwana ... eleza tena tafadhali.

    ReplyDelete
  3. aacha hizo kwani hujui wee annoy 07:19:00PM

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...