Mpendwa Mteja,

Tunategemea kuzindua uuzaji wa Nyumba katika mojawapo ya miradi yetu kuanzia tarehe 23/04/2012. Uzinduzi huo utatangazwa rasmi kupitia vyombo mbalimbali vya Habari. Matangazo hayo yataeleza kinaga ubaga ni mradi gani, ukowapi, ni nyumba za aina na ukubwa gani, na zinauzwa kwa bei gani. Tafadhalijitayarishe kwa kuandaa fedha kwa ajili ya ununuzi wa Nyumba hizo.

Tafadhali tutumie majina yako pamoja na anwani (ya posta na unapoishi), namba za simu, na anwani ya barua pepe kwa ajili ya mawasiliano zaidi. Kwa taarifa zaidi juu ya utaratibu wa kununua Nyumba za NHC tafadhali fungua kiambatanisho kifuatacho:


Asante kwakuchagua NHC kuwa mjenzi wa nyumba ya ndoto yako,

Shirika laNyumba la Taifa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. 'Tulioko' nje ya nchi tumefikiriwa kwenye uuzaji huu?

    David V

    ReplyDelete
  2. bei hatuoni na nyumba zenyewe zipo dodoma na kigom.
    zile za chamazi bei hakuna sijui ndo usubiri kuuziwa mara mbili mbili kama viwanja. bongo kama naija.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...