HAYATI STANLEY THOMAS MBUYA 

MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI YA KVD ENTERPRISES LTD,BW. STANLEY THOMAS MBUYA AMEFARIKI DUNIA LEO ASUBUHI MAJIRA SAA 12.15 KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI JIJINI DAR ES SALAAM.

 MIPANGO YA MAZISHI INAFANYIKA NYUMBANI KWAKE MTAA WA MAKUNGANYA NA CLUB YA WAZEE ILALA JIJINI DAR ES SALAAM LEO SAA 10 JIONI. 

MAZISHI YATAFANYIKA KIJIJINI KWAO KILEMA KIMARORONI MOSHI TAREHE 28/04/2012 KANISA LA MTAKATIFU BERNADETA KILEMA NA MISA ITAKAYOFANYIKA KUANZIA SAA 8 MCHANA.

MUNGU AIWEKE ROHO YAKE MAHALA PEMA PEPONI.

-AMIN.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. oh oh jamani poleni sana na msiba huu, kaka ulikuwa role model wetu Majengo Moshi, bidii yako kaka tunajivunia, Poleni wote kwa msiba huu

    Jirani Majengo

    ReplyDelete
  2. Ni mshtuko mkubwa kumpoteza kaka yetu Stanley. Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi.
    Godlisten

    ReplyDelete
  3. Mungu ailaze Roho ya marehemu mahala pema peponi, ni siku ya uzuni sana kwangu leo.

    ReplyDelete
  4. Tutakukumbuka Daima Uncle,Mungu akupokee kwa mikono yote miwili na Upumzike kwa amani.Msalimie Marehemu Bibi Yetu (Mama Perpetua) ukifika.Poleni sana Andrew na Familia ya Mr. Stanley.

    ReplyDelete
  5. Nimehuzunika sana na Kifo cha Brother mcheshi wa KVD. Mungu amuweke mahali pema peponi.

    Mdau USA.

    ReplyDelete
  6. Ni Msiba mzito. Nimepokea kwa masikitiko makubwa sana taarifa za msiba huu. Mungu awajaalie Mama Joyce Mbuya, wanae na wanafamilia wote uvumilivu na ustahamilivu katika kipindi hiki kigumu na cha majonzi. Mungu Baba uiweke roho ya Mkuu wetu Stanley mahala pema peponi. Bwana alitoa, nae Bwana ametwaa. Jina lake lihimidiwe, amen.

    R.I.P Stanley Thomas Mbuya.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...