Msanii wa muziki wa injili, Rose Muhando akiwapungia wananchi alipokuwa akiingia Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, kutumbuiza katika Tamasha la Pasaka linaloendelea sasa.
 Sehemu ya watu wakishuhudia Tamasha la Pasaka,
                                   Msanii Tumain John akifanya vitu vyake katika tamasha la Pasaka
 Mwalyambi kutoka Sumbawanga, akionesha manjonjo yake katika tamasha hili la kukata na shoka
 Msanii wa Muziki wa Injili kutoka Afrika Kusini, Rebecca Malope (katikati), akiwa upande wa vyombo vya muziki kuweka mambo sawa muda mfupi kabla ya kupanda jukwaani.
                                                          Kundi la msanii John Lisu likitumbuiza
                     Ni furaha tele kwa kila mtu. PICHA ZOTE NA KAMANDA MWAIKENDA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. asante sana kwa kutuonesha ambao hatujafanikiwa kufika uwanjani for real watu wameenjoy sana, shukurani tere kwa waandaji wa tamasha hili

    ReplyDelete
  2. Mungu tumuache awe Mungu, tamasha limefana na hakuna vurugu wala virungu vya polisi,naomba huu mfano wote tuuige .Zebedayo

    ReplyDelete
  3. Hii blog kwa kweli ni blog ya kila mtu na dini zote. Naipenda na nitaendela kuipenda. Thanx, bro Michuzi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...