Kutokana na Mvua ya kiaina aina iliyonyesha leo jijini Dar es Salaam,imepelekea eneo hili la Tandika Davies Corner  kujaa maji na kupelekea vyombo vya usafi kupita kwa shida katika eneo hilo.
Dereva wa Bodaboda akihandaika kuinasua bodaboda yake mara baada ya kukwama kwenye tope.
Wengine wakihangaika kuhamisha friji.
Mwanadada ambaye alikuwa ametoka gengeni akilazimika kupita kwenye maji machafu yaliyotuama kutokana mvua  iliyonyesha leo jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. NEW YORK YETU HIO MJAMAA

    MLIOKUWA MAJUU NA MSITHUBUTU KURUDI HUKU NI BALAA HAKI YA MUNGU AFADHALI MFIE HUKO HUKO

    ReplyDelete
  2. hii ni hatari sana kwa afya zetu ,tujaribuni sana kuangalia barabara zetu kujengwa mitaro ya maji yaende ....hapo ni maji ya mvua na makaro yamechanganyika ndio yanatuingia mwilini mwetu, na utasikia ati dar imeendelea magorofa kwa wingi vikwanguwa anga km 5 kutoka kwenye magorofa watu wanalala na maji ya mavi je hayo ni maendeleo ......ni aibu kubwa sana hata kumpeleka mgeni huna njia yakumpitisha ....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...