Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico, Mhe. Mwananidi Maajar akilakiwa na mmiliki wa Blog ya Vijimambo Bw. Lucas Mkami 'Mpwa' mara tu alipofika kwenye sherehe za miaka 2 ya Blog ya Vijimambo zilizofanyika Jumamosi March 31, 2012 katika ukumbi wa Mirage uliopo Hyattsville, Maryland.
 Mpwa akiwa na Mhe. Balozi (kati) na Afisa Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani, Dr. Mkama (kulia) 
 Mhe. Balozi akilakiwa na Missy Temeke (kulia) pamoja na mama wa mitindo, Asya Idarous Khamsin  ( wapili toka kulia) alipokua akiingia ukumbini.
 Mhe. Balozi akikagua Banda la Mjasilamali Asya IDarous Khamsin

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. We anonymous 2 acha fitna na kumkatisha tamaa kijana Dr. Shayo. He has ze profile, ze vision and ze right attitude. Go Dr., goo! He has ze nguvu zaidi and ze ari zaidi too. FS/FM William Malecela weka sera hapa jamvini kwa kimombo tukupatepate! Acha kuuza sura.

    ReplyDelete
  2. Vipi ankal mbona comment yangu ya Dr. Shayo umeiweka hapa kwenye sherehe ya vijimbambo??? Ipeleke inakousika bana... au hujuma???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...