Washiriki wa shindano la Miss Kigamboni wakiwa katika picha ya pamoja wakati walipokutana na waandaaji wa shindano hilo,ambao ni Bi. Angela Msangi na Bi. Somoe Ng'itu (hawapo pichani) kwa mazungumzo na kufahamiana, mazungumzo hayo yalifanyika kwenye mgahawa wa Hadees Posta jijini Dar es salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Somoe Mwandishi wa habari za 'spoti' katika gazeti fulani maarufu,TZ, la kila siku(la kiswahili?? au)

    Waandaaji 'nawapa tano'..Mmechukua wadada simpo sana,rangi halisi za Kitanzania.Kila la kheri wadogo zangu.

    David V

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...