Mdau Amina Ismail akila kiapo cha ndoa huku Mumewe,Simon Collery akishuhudia wakati wa hafla fupi ya ndoa yao hiyo iliyofanyika kwenye bustani ya Hoteli ya Atriums,iliyopo Sinza Afrika Sana,jijini Dar es Salaam mwishoni kwa wiki iliyopita.
Maharusi wakiwa kwenye picha ya pamoja na ndugu na Jamaa katika ufukwe wa Kunduchi Beach jijini Dar.
Picha ya pamoja.
Keki ya Asili kutoka Mkoani Tabora.
Hongera dada Amina na huyo shemeji yetu..Hongereni sana.Kwenye Magazeti(Ankal shahidi) kurasa za picha za 'maharusi' wakimaliza kutoa maelezo ya picha mwishoni wanamalizia na hii phrase..'Bwana harusi ni(wasifu)mwenyeji wa...wakati bibi harusi ni(wasifu)mwenyeji wa/anatokea......ina maana sana hii.
ReplyDeleteMahaba Kikohozi.
ReplyDeleteHuyu Mzungu mbona ana sura ya kike. Me nlizani muoaji yule mfupi wa kwanza kushoto. Eh alivyovaa vitenge yani mwanamke mwanamke. Dada zetu njaa zitawaua
ReplyDeleteHabari Ankal Michuzi, pole na kazi.
ReplyDeleteMimi ni Amina Ismail ni mhusika katika hii post. Naomba unisaidie kwa kuiondoa hii post kama hutojali. Samahani kwa usumbufu.