BETTER DAYZ ENTERTAINMENT AND MARAFIKI WA KWELI LIMITED WANAKULETEA SHOW YA MISS NA MR IFM 2012. ITAKAYOFANYIKA KATIKA UFUKWE WA CINE CLUB MIKOCHENI TAREHE 12 MAY 2012. KWENYE STAGE DIAMOND PLATNUM ATATIKISA VILIVYO AKISHIRIKIANA NA MC MPOKI. NI SHOW KABAMBE AMBAYO HAIJAWAHI KUTOKEA KATIKA ULIMWENGU WA UREMBO. VIINGILIO NI TSH 15,000/= KWA WANAFUNZI WA IFM NA TSH20,000/= KWA WASIO WANAFUNZI. USIKOSE SIKU YA JUMAMOSI NDANI YA CINE CLUB MIKOCHENI. wote mnakaribishwa
COMMITTEE
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...