Mkurugenzi wa Campas ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA),Prof. Mzanila (kushoto) akikabidhi kombe kwa Nahodha wa timu ya Infomatic ya Chuo Cha SUA,Ally Tambala ambao ndio Mabigwa wa michezo ya Excel With Grand Malt 2012,iliyokuwa ikichezwa Chuoni hapo,ikiwa ni Bonanza la Ufunguzi rasmi wa Mashindano ya Excel With Grand Malt 2012 lililofanyika jioni ya leo kwenye viwanja vya SUA,Mazimbu mkoani Morogoro.Katikati ni Meneja wa Kinywaji Cha Grand Malt,Consolata Adam.
Mabigwa wa Mchezo wa Bonanza la Ufunguzi wa Mashindabo ya Excel With Grand Malt 2012,timu ya Infomatic ya Chuo Cha SUA wakishangia ushingi wao kwa pamoja na Meneja wa Kinywaji Cha Grand Malt,Consolata Adam (katikati) na Mwanamuziki Joe Makini.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Joh-Makini akifanya vitu vyake wakati wa Bonanza la Ufunguzi wa Mashindabo ya Excel With Grand Malt 2012 lililofanyika jioni ya leo kwenye viwanja vya SUA,Mazimbu mkoani Morogoro.
Meneja wa Kinywaji Cha Grand Malt,Consolata Adam akizungumza na Wanafunzi wa Vyuo vya Mzumbe na SUA,jioni ya leo.
Sijafurahishwa na kitendo cha joe makini kutovaa t-shirt ya mdhamini. Kuweka begani wakati wa shoo, hii inaonyesha dhahiri kwamba ulipewa. Mdhamini anategemea sana matangazo. Jamani kuweni wabunifu kuvutia wadhamini, sio mnalalamika hampati wadhamini kwa vitendo hivyo, nani atajitokeza
ReplyDeleteJamani!!!!!