Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Joh Makini akiwaburudisha mashabiki wake kwa nyimbo zake mbali mbali wakati wa Bonanza la Ufunguzi wa Mashindano ya Excel With Grand Malt 2012,lililofanyika kwenye uwanja wa Chuo cha Ushirika,Moshi mkoani Kilimanjaro jioni ya leo.
Mratibu wa Mashindano ya Excel With Grand Malt 2012,Victor Ndunguru (kushoto) akikabidhi zawadi ya Box la Grand Malt kwa washindi wa Mchezo wa Kuvuta Kamba wakati wa Bonanza la Ufunguzi wa Mashindano ya Excel With Grand Malt 2012,lililofanyika kwenye uwanja wa Chuo cha Ushirika,Moshi mkoani Kilimanjaro jioni ya leo.
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Ushirika,Mjini Moshi wakishiriki kwenye mchezo wa kuvuta kamba.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...