MAJINA YA WAKUU WA WILAYA WAPYA 70 NA
VITUO VYAO VYA KAZI
==================================
MAJINA 63 WAKUU WA WILAYA WA ZAMANI NA
VITUO VYAO VYA KAZI
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
UNAONAJE UKITULETEA NA MAJINA WALIOACHWA?MAJINA MAPYA HAYANA MAANA HAO WAKUU WA WILAYA UMUHIMU WAO WANAUJUA WEZI WA KURA TU.SISI TUNAYATAKA ZAIDI YAWALIOACHWA HAYO ILI TUCHIMBUE SABABU ZA KUACHWA NA IKIWEZEKANA TUWAUNGANISHE NA WALE MAWAZIRI SITA MAHAKAMANI MUDA UKIFIKA PLEASE.TUNATAKA IFIKIE MAHALI MTU AKITEULIWA ANALIA KWA HUZUNI KAMA SIMWAJIBIKAJI MAANA ANAJUA MWISHO WAKE NI MAHAKAMANI.
ReplyDeleteNo comment
ReplyDeleteDavid V
Huyu James Millya ni yule aliyehamia Chadema ama mwingine? naomba kuelimishwa kidogo nilidhani wakuu wa wilaya wote wanakuwaga wana CCM au wamejisahau? ama karudi tena CCM?
ReplyDeletehongereni kwa kuonekana kuwa ni watendaji wazuri. Tunategemea mtaendeleza mapambano kwenye grassroots huko. Uchumi wa Mtanzania unategemea zaidi utekelezaji wa sera na mipango madhubuti
ReplyDeletecongratulations to you all and best wishes
Michuzi jamani wamekuacha. Mkuu wa wilaya ya nani hiii............
ReplyDeleteHongereni na hongera zaidi kwa the long old friend Novatus Makunga.
ReplyDeleteMie nina uhakika kabisa Ankal aliulizwa nikupe wilaya ipi ukawe mkuu akajibu Mzee Kaka Mkubwa mie niache hivi hivi na hapa hapa nilipo kuliko ukanipa ukuu wa Wilaya. Ankal kanusha kama mie mwongo. Mie binafsi nisinge furahi ankal kuwa mkuu wa nanii hii tungekosa uhondo wa libeneke.
ReplyDeleteAnonymous wa may 10 09:02am, umewaza kama mimi kama makunga yumo kwanini si wewe ankal, tungefurahijeeee!
ReplyDeleteApewe alafu hiyo tisheti atamuachia nani?chonde chonde jamani mimi naomba msaada mtafutieni ya kuziba pengo rangi hizo hizo.
ReplyDelete