Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Lephy Gembe akila kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi.
Mkuu wa Wilaya ya Bahi Elizabeth Mkwasa (kulia) akiweka saini hati ya kiapo cha Mkuu wa Wilaya baada ya kuapa mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi.
Wakuu wa Wilaya za Mkoa wa Dodoma (waliosimama mbele) kutoka kushoto ni Martha Umbula (Kongwa), Francis Mpinga (Chemba), Elizabeth Mkwasa (Bahi), Omar Kwaangw’ (Kondoa), Christopher Kangoye (Mpwapwa), Lephy Gembe (Dodoma) na Fatma Ally (Chamwino).
Baadhi ya Wageni Mashuhuri waliojitokeza kwenye hafla ya kuwaapisha Wakuu wa Wilaya Mkoani Dodoma, hafla hizo zilifanyika kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dodoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...