Home
Unlabelled
Hali Ilivyo kwenye Mizani ya Mikese Mkoani Morogoro
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nisinge mshauri dereva huyu wa Bus kuyapita malori haya, kwasababu msululu huu ni mrefu mno, angekuwa na gari dogo ningemwambia ajaribu kwa kutumia kasi ya juu, kama vile speed ya 140 km/hour iliku-cover distance hii kwa haraka kabla mwenzake hajatokea kule mbele, kwa Bus speed hiyo ni hatari iliyo wazi na kwanza Bus haliwezi ku-coup na mwendo kasi kwa haraka kama ilivyo kwa gari dogo, anyway sijui ilikuwaje baada ya kujaribu kwake?
ReplyDeleteHivi hii mizani inasaidia nini na kama ni lazima kuwepo basi wangeitoa kabisa nje ya barabara kuu ili kuondoa usumbufu kama unavyoonekana na pia hawa jamaa wa mizani ni wababaishaji sana,sasa hiyo foleni ilivyokubwa ni kwa kuwa miundombinu ni mibovu hii ni barabara kuu inatakiwa iwe wazi wakati wote.
ReplyDeleteFoleni hii inasababishwa na eneo lenyewe lenye mizani kuwa dogo na hivyo kushindwa kuhimili idadi kubwa ya magari yanayotakiwa kupimwa. Mojawapo ya solution ni kwa kila kampuni (hasa zenye mabasi ya abiria) katika stendi kuu zote nchini kuwa na mizani zenye uwezo wa kupima mizigo ya abiria kabla ya kuanza safari kama ilivyo katika airports kwa usafiri wa angani. Faida ya mfumo huo, kwanza ni kuepuka ajali zinazosababishwa na overloading, lakini pili ni kwamba hata abiria watalipia mizigo yao kwa kuzingatia uzito na hivyo kulipia mizigo yao kwa viwango vitakavyokubalika kati ya wadau. Tatu, mizigo kama vifaa vya ujenzi (mabati, vigae, saruji, nk), mafurushi ya mitumba isiruhusiwe kusafirishwa kwa kutumia mabasi ya abiria. Hata hivyo, solution hii pia itategemea sana uadilifu wa watendaji katika huduma hii ya usafirishaji abiria.
ReplyDelete