Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Jaji Profesa Ibrahim Juma akiongoza kikao cha Majaji kupitia Ripoti ya mfumo wa Sheria za Haki za Madai jijini Dar es Salaam.
Jaji wa Mahakama Kuu Dk. Faudh Twaib akiwasilisha maoni yake wakati wa kupitia ripoti ya mapitio ya mfumo wa sheria za Haki za Madia Tanzania.
Baadhi wa Majaji na Makamishna wa Tume wakiwa katika kikao hicho.
Washiriki wa kikao hicho.
Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Jaji Profesa Ibrahim Juma (kulia mbele) na Mtaalamu Mshauri wa kupitia ripoti ya mfumo wa sheria za Haki za Madia Dr. Mapunda wakiwa katika kikao hicho (picha na Munir Shemweta)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...