Mdau na Mh  Novatus makunga akila kiapo kama Mkuu wa Wilaya ya Hai
 Dk Ibrahim Msengi akila kiapo cha kuwa DC wa Moshi.
 Dkt Charles Mlingwa akila kiapo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Siha
 Mh Elius Pallangyo akila kiapo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rombo
 Mh Herman Clement  Kapufi DC mpya wa Same akila kiapo
 Mh Shaibu Ndemana akila kiapo kuwa DC wa Mwanga
 Ma-DC wapya wa wilaya za  mkoa wa Kilimanjaro baada ya kula kiapo
Mdau na Mh Novatus Makunga akiwa na baadhi ya wanahabari wenzake wa mikoa ya Kilimanjaro na Arusha waliofika kumpongeza kwa kuula

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 18, 2012

    Hiyo haitakiwi nyie watu Kilimanjaro, Tunataka tumwone angaulau mwanamke mmoja hapa,Ok!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 20, 2012

    Namuunga mkono anonymous wa kwanza.
    Kilimanjaro hakuna wanawake wanaiweza hiyo kazi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...