Mrs. WANINDILA AUGUSTINO MKUMBO
2006 – 2012
Ilianza siku, Miezi, hadi sasa imetimia Miaka minne toka ulipotutoka na kutangulia katika makazi ya milele. 
Unakumbukwa daima na Wanafamilia kwa Malezi yako mema, mapenzi na uongozi mwema ambao ni vigumu kupata mbadala. 
Unakumbukwa daima na Mume wako ELISHA MKUMBO, Watoto, Wakwe, Wajukuu, Ndugu, Jamaa na Marafiki zako. 
MUNGU na ailaze roho yako mahali pema peponi. 
AMEN.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...