![]() |
| Mrs. WANINDILA AUGUSTINO MKUMBO 2006 – 2012 |
Unakumbukwa daima na Wanafamilia kwa Malezi yako mema, mapenzi na uongozi mwema ambao ni vigumu kupata mbadala.
Unakumbukwa daima na Mume wako ELISHA MKUMBO, Watoto, Wakwe, Wajukuu, Ndugu, Jamaa na Marafiki zako.
MUNGU na ailaze roho yako mahali pema peponi.
AMEN.



RIP mama Mkumbo
ReplyDelete