Ankal akiwa vekesheni jijini London Mwaka 1990 na wenyeji wake. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Kwa kweli tunatoka mbali

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 06, 2012

    ankal kumbe wewe kama vasco da gama msafiri wa zamani mtoni long time

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 06, 2012

    Ankali na huyo ndio shemeji hee mtoto alikuwa na umri gani hapo ?

    by Mchambawima majaliwa

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 06, 2012

    Unaona ishara ya mji au nchi yenye shibe na amani?? Njiwa wengi mtaani!! Kinyume chake ni kunguru tu wamejazana!! Hongera Ankal kwa kumbukumbu!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 06, 2012

    kitu Trafalgar square si mchezo ankal salute kwako, mwaka 1990 du

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 07, 2012

    ANKAL MIMI NI MTANI WAKO LAKINI ULIKUWA BONGE LA MSHAMBA UTAFIKIRI UMEOKOTWA ITIGI?

    ReplyDelete
  7. David KyunguMay 07, 2012

    Looh! wee mnyambala wee! H'afu enzi hizo ulikuwa na ka'Afro f'lani'flani hivi! Hongera sana, endelea kutuwekea "za enzi hizo"

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 07, 2012

    Ankali pamba zako tu ndo zinaniacha hoi hapo. Duh ha ha ha ha

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 08, 2012

    Ankal hili ndilo umbile linalohitajika hicho 'kitambi' chako ni matatizo makubwa jaribu kuingia kwenye mabonanza kama Kitambi Noma.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 09, 2012

    Angalieni Madogo mnakuwa wabishi kutoa Maoni humu,,,miaka hiyo 1990 Ankal akiwa anakwenda UK wengineo Mabosi Wadau humu Jamvini bado kipindi hicho 'mnafungwa nepi' kwa kuvalishwa Pampers !

    Wengine mnawekewa 'vinyonyeo vya geresha midomoni' ili msilie lie ovyo !

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 09, 2012

    Wengineo miaka hiyo 1990 kamasi zinawavuja bado mpo Chekechea !

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...