Ankal! Hapa Sweden tumeshaisajiri timu ya Watanzania Sweden na tumeanza kucheza ligi daraja la 7 na mambo so far sio mabaya sana. Timu inaitwa FC KILIMANJARO, na  tunaka kuhakikisha tunacheza ligi kubwa hapa sweden na ikiwezekana kombe la Ulaya...Hahahahahahah. 

WELCOME TO THE INTRO & INAUGURATION PARTY FOR THE SPORTS CLUB FC KILIMANJARO

MNAKARIBISHWA KWENYE UTAMBULISHO-UFUNGUZI WA KILABU CHA MICHEZO FC KILIMANJARO
ATE/TAREHE: 26-MAY-2012
TIME/MUDA 14:00 -24:00 SAA 8 MCHANA –SAA 6 USIKU

PLACE/UKUMBI KISTA TRAFF
Kista Torg 7
Þ   SUPPORT/DONATION/MICHANGO KR.10,20,40,80,100,200, DEPENDING ON YOUR POSITION
Þ   MUSIC
Þ   INTRO OFFICE WEBSITE-UTAMBULISHO WA TOVUTI YA KILABU
Þ   FOOTBALL PLAYERS PROFILE-UTAMBULISHO WA WACHEZAJI
Þ   BITES &DRINKS TO BE SERVED AT A REASONABLE PRICE AS A CONTRIBUTION SUPPORTING FC KILIMANJARO /VITAFUNWA NA VINYWAJI VITAUZWA BEI POA KAMA MCHANGO KWA AJILI YA KUSAIDIA FC KILIMANJARO
Þ   ABOVE ALL SPORTS AND SOCIALIZATION HAVE GOT A SPIRT OF UNITING PEOPLE-MICHEZO NA KUJUMUIKA PAMOJA NI UMOJA
 CONTACT: George- 07659512258
Adrey - 0737106092








Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 13, 2012

    hongereni sana kwa kufanikisha kuunda timu ya watanzania huko ughaibuni sababu itasaidia kudumisha umoja miongoni mwenu Big up thaaaaaaaaaaana mazee. By Maestro

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 13, 2012

    HONGERA SANA FC KILIMANJARO
    GRATTIS FC KILIMANJARO
    /NGOMA YA KILO STOCKHOLM

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 17, 2012

    YAP.HONGERENI SANA NI JAMBO JEMA MMEONYESHA USHIRIKIANO BIG UP YOYOOO NA WENZAKO MLIOKAA NA KUANZISHA HII FC KILIMANJARO NA MTAFANIKIWA HATA KUINGIA HIYO DARAJA KUBWA,VIP BADO UNACHUMPA AUUUUUU?BIG UP SANA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...