Hellow kaka michuzi. kwa jina naitwa issam naishi ireland , kaka mimi nimefungua mtandao wangu na ni bado ni mchanga katika mambo haya ya mitandao. nitafurahi sana ukinipataff mdogo wako kwa kuniwekea huu ujumbe kwenye mtandao wako ili wadau waufahamu nitashukuru sana kama utanipa taff. mtandao unaitwa -
Ahsante sana
how is this different from Facebook?
ReplyDeletekazi nzuri kaka,ila jaribu kuumiza kichwa kufanya designing yako mwenyewe maana hiyo kitu ni ume copy na uka pest from facebook.so,sit down again and think how your social network will look different from facebook in terms of designing:))
ReplyDeleteMhhhhhhhh hapo unaweza funguliwa kesi ya copyright na facebook!!!!!!!! try to be creative on your display...anyway one step ahead Big up.. Salma H
ReplyDeleteAhhh Hongera lakini ni hatari sana!
ReplyDeletePana uwezekano mkubwa ukakwaruzana na Mark Langerberg wa fb.
Issam, sawa umefanya jitihada kubwa
ReplyDeleteHatukutishi isipokuwa kwa ukweli pana mawili (2) hapa chini.
Inaonekana kazi yako ina fanana sana na facebook, hivyo yawezekana:
1.Ukafungwa (JELA) saaana!
AU
2.Kama ni tajiri ($$$) ukafilisiwa!
Ktk history ya technology wala tusijisumbue kusema sana mambo mengine hayahitaji utafiti...Detroit diesel walikuwa ni kampuni ya kwanza kuanza kutumia unit injector system kwenye engines zao, few years later Caterpillar nao wakakopi na wakatengeneza engine using the same unit injectors system. Ulisikia nani kaongea? Simu wanazotumia wajomba zenu za kichina zote ni kopi za simu za makampuni mengine ila wachina wao hawatashitakiwa!! Acheni uzembe wa kufikiri nyie! Rafikibuzz haifanani na facebook, full stop!!!
ReplyDeleteWizi tu watanzania hamtaki kusugua vichwa na kufanya kazi na kuwa wabunifu..huu ni upuuzi kabisa...watu wazima hamtumii akili mna-copy kazi za wenzio...!! Mdau, CA, USA
ReplyDelete