Hellow kaka michuzi. kwa jina naitwa issam naishi ireland , kaka mimi nimefungua mtandao wangu na ni bado ni mchanga katika mambo haya ya mitandao. nitafurahi sana ukinipataff mdogo wako kwa kuniwekea huu ujumbe kwenye mtandao wako ili wadau waufahamu nitashukuru sana kama utanipa taff.  mtandao unaitwa -
Ahsante sana
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 06, 2012

    how is this different from Facebook?

    ReplyDelete
  2. kazi nzuri kaka,ila jaribu kuumiza kichwa kufanya designing yako mwenyewe maana hiyo kitu ni ume copy na uka pest from facebook.so,sit down again and think how your social network will look different from facebook in terms of designing:))

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 06, 2012

    Mhhhhhhhh hapo unaweza funguliwa kesi ya copyright na facebook!!!!!!!! try to be creative on your display...anyway one step ahead Big up.. Salma H

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 07, 2012

    Ahhh Hongera lakini ni hatari sana!

    Pana uwezekano mkubwa ukakwaruzana na Mark Langerberg wa fb.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 07, 2012

    Issam, sawa umefanya jitihada kubwa

    Hatukutishi isipokuwa kwa ukweli pana mawili (2) hapa chini.

    Inaonekana kazi yako ina fanana sana na facebook, hivyo yawezekana:

    1.Ukafungwa (JELA) saaana!

    AU

    2.Kama ni tajiri ($$$) ukafilisiwa!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 07, 2012

    Ktk history ya technology wala tusijisumbue kusema sana mambo mengine hayahitaji utafiti...Detroit diesel walikuwa ni kampuni ya kwanza kuanza kutumia unit injector system kwenye engines zao, few years later Caterpillar nao wakakopi na wakatengeneza engine using the same unit injectors system. Ulisikia nani kaongea? Simu wanazotumia wajomba zenu za kichina zote ni kopi za simu za makampuni mengine ila wachina wao hawatashitakiwa!! Acheni uzembe wa kufikiri nyie! Rafikibuzz haifanani na facebook, full stop!!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 07, 2012

    Wizi tu watanzania hamtaki kusugua vichwa na kufanya kazi na kuwa wabunifu..huu ni upuuzi kabisa...watu wazima hamtumii akili mna-copy kazi za wenzio...!! Mdau, CA, USA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...