Lori la Mizigo lenye nambari za usajiri T 688 ABA,ambalo limepinduka usiku wa kuamkia leo eneo la kijiji cha Taboteri,Gairo Mkoani Morogoro na kusababisha kifo cha mtu mmoja ambaye hakuweza kutambulika jina lake (kutokana na kwamba alikuwa ameomba lift tu) na kujeruhiwa kwa dereva wa lori hilo ambaye alivunjika mkono na kupelekwa hospitali.Chanzo cha ajali hiyo hakijajulikana mpaka hivi sasa.
 Utaratibu wa Kulinyanyua Lori hilo ulianza mara moja baada ya kufika kwa jamaa hawa wa Break Down.
 Break Dowm ikiendelea kunyanyua Lori hilo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...