Tunapenda kuwafahamisha watu wote kuwa mafundisho ya neno la Mungu kutoka kwa mwalimu Christopher Mwakasege sasa yanarushwa online kila siku saa 10 na nusu usiku na kurudiwa jioni na saa 10 na nusu (saa za
Tanzania), katika link zifuatazo:
Kwa wenye PC tumia:
Kwa wenye Mac na Linux tumia:
Kumbuka ni kila siku saa 01:30GMT na kurudiwa 13:30GMT (Saa za Marekani ni 09:30 Eastern na kurudiwa 21:30 Eastern).
Mdau Kavishe
Mungu akubariki sana Kavishe kwa kuweka hii linki, nimesikiliza mafundisho yamenibariki mnooo. kweli ni mafundisho yanayojenga sana. Mungu ambariki Mwl. Mwakasege
ReplyDelete