Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na wajumbe wa tume ya marekebisho ya katiba Tanzania wakati alipotembelea ofisi za Tume hiyo jiji Dar Es Salaam tarehe 11/05/2012. Pamoja nae ni Mwenyekiti wa tume hiyo jaji mstaafu Joseph Sinde Warioba
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na wajumbe wa tume ya marekebisho ya katiba Tanzania wakati alipotembelea ofisi za Tume hiyo jiji Dar Es Salaa tarehe 11/05/2012. Kushoto ni Waziri wa Katiba na Sheria Tanzania, Mathias Chikawe. Wengine kutoka kulia ni katibu wa tume hiyo Assaa Ahmed Rashid na Mwenyekiti jaji mstaafu Joseph Sinde Warioba
 Mwenyekiti wa Tume ya marekebisho ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jaji mstaafu Joseph Sinde Warioba akimueleza Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad juu ya hatua waliyofikia katika maandalizi ya kukusanya na kuratibu maoni ya wananchi juu ya katiba, wakati Maalim Seif alipotembelea ofisi za tume hiyo jijini Dar es Salaam tarehe 11/05/2012. Kushoto ni Waziri wa Katiba na Sheria Tanzania, Mathias Chikawe.
 Mwenyekiti wa Tume ya marekebisho ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jaji mstaafu Joseph Sinde Warioba akimueleza Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad juu ya hatua waliyofikia katika maandalizi ya kukusanya na kuratibu maoni ya wananchi juu ya katiba, wakati Maalim Seif alipotembelea ofisi za tume hiyo jijini Dar es Salaam
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiagana na Waziri wa Katiba na Sheria Tanzania Mathias Chikawe wakati alipotembelea ofisi za tume ya marekebisho ya katiba tarehe 11/05/2012. Kulia ni  Mwenyekiti wa tume hiyo jaji mstaafu Joseph Sinde Warioba.
Picha, Salmin Said-Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...