Mwili wa mchezaji wa Simba Marehemu Patrick Mafisango umewasili nchini DRC Congo jana kwa mazishi ambapo leo ndiyo mazishi yanafanyika kama inavyoonekana katika picha ukiwa umewekwa tayari kwa ndugu jamaa na marafiki kuuagwa kabla ya kuuzika nyumbani kwao Lemba nje kidogo ya jiji la Kinshasa!.
 Ndugu na jamaa wakiwa katika msiba huo huko nchini DRC Congo
Hiki ndicho kibanda kilichojengwa maalum kwa ajili ya kuhifadhi mwili wa marehemu Patrick Mafisango kabla ya kuzikwa leo hii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 21, 2012

    Nimeona solar panel pale juu, yumkini watu wa kisasa hao, hata hivyo turudi nyuma kidogo. ile gari ilipata ajali alfajiri, taa na boot la gari yalifumguliwa na nani na kwa nini. Hii 'vandal culture' ambayo ni wizi, ufisadi, kukosa utu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 21, 2012

    Pumzika kwa amani Peti Makambo Papa Mafisango!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...