Mchezaji wa timu ya Pool ya Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA),Cleophece Cravery akipiga mpira wakati wa mashindano ya Mchezo wa Pool kwa wanafunzi wa vyuo vya Elimu ya Juu yanayoendelea leo mkoani Morogoro kwa udhamini mkubwa wa Kampuni ya Bia Tanzania kupitia Bia yake ya Safari Lager.
Mchezaji wa timu ya Pool ya Chuo cha Mzumbe Morogoro, Joel Masaro akijitaalisha kupiga mpira  wakati wa mashindano ya Mchezo wa Pool kwa wanafunzi wa vyuo vya Elimu ya Juu yanayoendelea leo mkoani Morogoro kwa udhamini mkubwa wa Kampuni ya Bia Tanzania kupitia Bia yake ya Safari Lager. kushoto ni refa wa Mchezo huo,Prosper Nkya
Refa wa Mchezo wa Pool kwenye Mashindano ya Vyuo vya Elimu ya Juu nchini,Prosper Nkya (kushoto) akiwahesabia wachezaji wapige mpira kwa ajili ya maamuzi ya kujua nani atatakiwa kuanza kucheza na nani atafata wakati wa mashindano ya mchezo wa Pool kwa Vyuo ya Elimu ya Juu,Mkoani Morogoro leo.Mashindano hayo yanadhaminiwa na Kampuni ya bia Tanzania kupitia bia yake ya Safari Lager.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...