Baadhi ya wadau wa mafunzo yaliyohusu usimamizi wa sekta ya madini wakiwemo viongiozi wa vyama vya kisiasa , wachimbaji wadogo na Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Morogoro wakifuatilia kwa makini mada iliyozungumzia majukumu na shughuli za Wakala wa Ukaguzi wa Madini nchini ( TMAA) iliyotolewa na Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Wakala huo, Bruno Mteta, ( hayupo pichani) Mkoani Morogoro.
Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) Mh Sarah Msafiri ( kulia ),ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, akiongozana na baadhi ya watendaji wa Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania ( TMAA) baada ya kufungua mafunzo yaliyohusu usimamizi wa sekta ya madini kwa wadau wa sekta hiyo wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa , wachimbaji wadogo na Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Morogoro.
Picha na John Nditi wa Globu ya Jamii
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...